Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MAGONJWA YA ZINAA KWA WANAUME NA WANAWAKE SOMA ZAIDI HAPA

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Kuna baadhi ya magonjwa ya zinaa yanayosababishwa na ufanyaji wa mapenzi bila kutumia kondom,kama kaswende na kisonono,ukiyapata huwa yanasababisha uke kutoa harufu mbaya kwa sababu dalili zake zinahusiana na kutokwa na maji yenye harufu mbaya.

UCHAFU.
Inawezekana pia tatizo la uke kutoa harufu mbaya linasababishwa na uchafu,labda unaoga mara moja tu kwa siku au siku nyingine hata hauogi.Au hauna mazoea ya kufua nguo zako za ndani na ikitokea siku umezifua basi hata hauzisugui zikawa safi.

YEAST INFECTION.
Hili pia ni tatizo,lipo kama la Bacteria Vagnosis tofauti yake ni kuwa kwenye Bacteria Vagnosis waliokuwa wamezidi ni Bacteria lakini huku wanaozidi ni Fungus Candida Albicana.


Ni wanawake wachache huwa wanapata Bacteria Vagnosis lakini wanawake wengi lazima wapate Yeast Infection japo mara moja katika maisha yao.
Mara nyingi Yeast Infection hutokea naturally au inaweza kusababishwa na aina ya vyakula au vinywaji unavyokula au kunywa especially kama vimejaa Yeast. ( vyakula vyote vinavyotengenezwa na hamira,pombe.n.k)

DALILI ZAKE.
1.Uke kuwasha
2.Maumivu kama uke unaungua pale unapokuwa unajisaidia haja ndogo.
3.Uke kutoa majimaji mazito (ute ute) yenye rangi nyeupe kama jibini. Endelea kuwanasi.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top