Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
kwa wale wenye maradhi ya pumu
chukua tembe saba za karafuu halafu utoe vichwa vyake na halafu uweke hivyo vijiti vya karafuu katika nusu glass ya maji na uviroweke usiku, na asubuhi ukiamka unywe hayo maji.
Killa siku weka tembe saba mpya katika hio nusu glass ya maji kwa muda wa week 2 adi 3, utaanza kuona mabadiliko yake.
Wengi waliotumia dawa hii wamepata uafueni sana. Mungu atujalie amani na afya njema, endelea kuwanasi tukujuze zaidi kupitia Tazama Line kwenye link ifuatayo=>> http://tazamaa.blogspot.com
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.
Share habari hii na wenzio wajue
Filed Under:
AFYA
on Friday, April 15, 2016
Post a Comment