Serikali imerasimisha jumamosi ya kila mwisho wa mwezi kuwa ni siku ya usafi kitaifa kupitia sheria ya mazingira ya mwaka 2004 kifungu 191.
Mtu yeyote atakayekaidi kufanya usafi siku hiyo atatozwa faini isiyopungua shilingi elfu hamsini au kifungo cha kuanzia miezi mitatu mpaka miaka saba.
Atakayebainika kutupa taka hovyo atatozwa shilingi laki mbili papo hapo na kwa kampuni au taasisi italipa milioni tano na kuendelea.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Post a Comment