Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Serikali imevunja bodi ya tume ya vyuo vikuu nchini (TCU) huku mwenyekiti wake Awadhi Mang’enywa ambaye mamlaka ya uteuzi wake yanatokana na rais John Pombe Magufuli akiridhia asimamishwe kazi baada ya kubainika bodi hiyo
kupitisha majina ya wanafunzi 486 kusoma shahada ya ualimu chuo kikuu cha mtakatifu Joseph kampasi ya Arusha na Songea huku wakiwa hawana vigezo na baadhi yao wakinufaika na mikopo ya elimu ya juu.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.
Share habari hii na wenzio wajue
1 comments:
NICEKI AISEEE 0756584473
ReplyPost a Comment