Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

UKINYWA BIA 1 UNAKUWA UMEKUNYWA TOFARI 2 ZA KUJENGEA NYUMBA, ZAIDI BOFYA HAPA

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Ukinywa bia moja ni sawa na kunywa tofari mbili za kujengea nyumba, ambapo kwa bei ya kawaida kabisa ya bia moja maeneo mengi inauzwa Tsh 2,500/=

Na bei ya tofari moja la nchi sita kwa maeneo mengi hapa mjini ni Tsh 1,300/=

Endapo kama kila siku moja unakunywa bia tano, maana yake ni kwamba kwa mwaka mzima wenye jumla ya siku 366 utakuwa umekunywa jumla ya bia 1,830 ambazo bia hizo ni sawa na pesa za kitanzania 4,575,000/=

Wakati kama ungekuwa umenunua tofari za kujengea nyumba yako, ungepata jumla ya tofari 3,660 ambazo zinatosha kabisa kujenga nyumba ya vyumba vitatu, seating room1, Dining room1, jiko1, vyoo viwili (Master na Public)  pamoja na store.

Hii ina maanisha kwamba hesabu niliyo ifanya hapa ni kwa mtu anayekunywa bia tano tu kwa siku, sasa ebu jiulize ukijumlisha na zile bia za offer unazokunywa kutoka kwa marafiki zako, ivi kwa mwaka mzima siunakunywa zaidi ya nyumba mbili au zaidi???.

Tafakali kisha chukua hatua. Imetolewa na Tazama Line kwa ushirikiano wa Mutalemwa Blog pamoja na Mikoa yetu


Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top