Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

SERIKALI YATANGAZA KUFUTA MILIKI ZOTE ZA ARDHI NCHINI

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Serikali imetangaza kuanza ukaguzi na kutaifisha ardhi yote iliyovamiwa ikiwemo ya maeneo ya wazi, pamoja na kufuta umiliki wa maeneo makubwa yakiwemo mashamba yasiyoendelezwa na yanayotumika kinyume na matumizi yaliyoombewa na kurudisha serikalini katika benki ya ardhi.

Akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa mradi wa wajibu wa uwekezaji katika mali na ardhi-RIPL-kwa niaba ya Katibu Mkuu, wa wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi Mpimaji mkuu wa serikali Bwana Nassor Duduma

amesema serikali imeunda kitengo maalum cha uwekezaji ardhi kilicho chini ya kamishina wa ardhi ambacho kitazunguka nchni nzima,kikianzia mkoani Dar es Salaam na kuwataka wote waliomiliki ardhi,kinyume na taratibu,wasiondeleza wajiandae kurudisha ardhi serikalini.

Akianisha changamoto katika sekta ya ardhi nchni Mkurugenzi wa jumuiko la maliasili Tanzania Bwana Joseph Olila amesema licha ya kuwepo kwa miongozo na sheria katika sekta ya ardhi lakini bado vitendo vya uvamizi wa ardhi

vinaongezeka kutokana na tatizo la elimu kwa wananchi,ambapo kwa upande wa vijijini amesema michakato wa uwekezaji hauko wazi kutokana na sheria na miongozo ya kitaifa haipelekwi katika maeneo hayo hali inayosababisha migongano.

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top