This 17 hectares is available in Vikindu Kazole area, about the distance from the main road is 7Km. Our price is 130 Millions but is Negotiable. Call us through 0659 91 9292
Eneo hili liko Vikindu kitongoji cha Cheta wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani, lote limezungushiwa uzio, ikiwa ni 4km kutoka barabara ya rami, linafaa kwa matumizi ya kiwanda, shule, hospital, shamba, makazi nk. Linauzwa kwa bei ya Tsh 130 millions pia maongezi yapo.
Nyumba yenyewe ndio hii hapa, ilo banda la mabati ni jiko. Tuwasiliane: 0659 91 9292
Huu ni moja wapo ya mikorosho iliyopo ndani ya eneo hili kubwa kabisa.
Ndani ya eneo hili kuna mimea ifuatayo. Miembe ya kisasa, Minazi, Mikorosho, pia kuna Tank la maji, bustani ya bamia, kuku, mbuzi, Nyumba ya vyumba vinne, nk
Tenk lenyewe ndio hili hapa, linafaa kwa matumizi ya kutunza maji ya kumwagilia bustani pamoja na matumizi mengine
Kuna mabwawa mawili makubwa kiasi kwa ajili ya kusaidia umwagiliaji bustani kipindi cha kiangazi, ili ni moja wapo.
Moja kati ya bustani nzuri kabisa zinazopatikana ndani ya eneo hili.
Hawa ndio mbuzi wanaofugwa kwenye eneo hili ndugu msomaji wetu.
Moja ya eneo linalotumika kuvumia maji ha mvua kwa ajili ya matumizi mbalimbali
Kwenye eneo hili kuna miti ya miembe ya kisasa mingi kweli kweli, tena yote ndo kwanza imeanza kutoa maembe mzao wa kwanza kama unavyoiona hapo pichani.
Kuku ndio hao nao pia wanafugwa ndani ya enwo ili, hawa ni wachavhe kati ya wote
Uzio uliozungushwa kwenye eneo lote hili la hekari 17 ndio huu unao uona pichani.
Linauzwa kwa bei ya Tsh 130 millions pia maongezi yapo. Tuwasiliane: 0659919292
Post a Comment