Habari za jumamosi ndugu mdau wetu, leo katika michezo na burudani tunapenda kukukumbusha kuwa usikose Kufuatilia mfululizo wa Michuano ya FIFA Under 20 kuanzia leo tarehe 30/05/2015.
Watakao fungua dimba kwenye mchezo wa leo sio wengine bali watakuwa ni Portugal Vs Senegal mchezo utaanza Saa moja usiku.
Habari zote juu ya michuano hii zitakujia moja kwa moja kupitia hapa hapa kwenye Tazama Line pamoja na Mutalemwa Blog. Endelea kuwa nasi ili tukujuze mambo mengi na mapya zaidi.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Post a Comment