Wanafunzi watano (5), ambao ni wanachuo kikuu cha iringa, kwa majina wakitambulika kama:
1.Marko kuzenza
2.Aidan mgonela
3.Frank leopord
4.Ahsante burfon
5.Kitalangwa magesa
Wametiwapo gereza/mahabusu hapa iringa mjini tangu juzi kwa tuhuma za.
1.Kupanga mawe barabarani
2. kufanya mgomo bila kibali.
Kiukweli inaumiza sana maana wanachuo hawa wanadai pesa za kujikimu pindi wawapo chuoni hapo, ila chakushangaza wana ambulia mateso na vitisho vya ajabu.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Post a Comment