Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

CHELSEA NDIO VINARA WAPYA WA LIGI KUU ENGLAND

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Chelsea  ndio mabingwa wapya wa ligi kuu ya England msimu huu, pamoja na kutwaa ubingwa huo kuna hizi tuzo ambazo hutolewa kila mwaka kwa kocha na mchezi ambaye ameonekana kuwa bora zaidi ya wenzake.

Kwa mara ya tatu kocha mkuu wa klabu hiyo Jose Mourinho ametangazwa kuwa ndiye bora zaidi ya wenzake katika ligi ya Uingereza.

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 52 aliiongoza Chelsea kubeba taji lao la kwanza la ligi ya Uingereza katika kipindi cha miaka mitano.

Mbali na Mourinho kiungo wa kati wa Chelsea Eden Hazard ambaye aliifungia Chelsea mabao 20 alitangazwa kuwa mchezaji bora wa ligi ya Uingereza msimu huu.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top