Kiongozi aliyebora na anayefaa kukuongoza wewe Mtanzania ni yupi kati ya hawa wawili?
1. Kiongozi anayemwaga pesa nyingi kwa wananchi wakati wa kipindi chote cha kampeni
2. Kiongozi anayepiga kampeni kwa nguvu zake mwenyewe na mwenye mapenzi ya dhati juu ya nchi yake pamoja na raia wake wote.
Ukumbusho tu kwako msomaji wa habari hii, kama ukiangalia vizuri picha hapo juu nadhani unaweza kujifunza kitu kutokana na picha hiyo.
Mimi sitaki nikuchoshe, isipokuwa nichukue mda huu kukutakia maandalizi mema yanayoambatana na maamzi sahihi juu ya uchaguzi unaokuja mwezi October 2015.
Chagua kiongozi mwenye sifa unazozitaka na awe na uchungu na nchi hii pamoja na raia wake wote. Tukutane October 25/2015.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Post a Comment