Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MARADONA AMTUHUMU MKEWE KWA WIZI WA FEDHA, SOMA ZAIDI HAPA

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Mkongwe wa soka duniani Diego Maradona amerudi kwenye headlines tena baada ya kumtuhumu mke wake wa zamani Claudia Villafane kuwa amemuibia fedha kwenye akaunti yake.

Maradona akizungumza kwenye matangazo ya moja kwa moja ya Televisheni alisema VillafaƱe ambaye alikuwa mpenzi wake wa zamani ni mwizi na amemwibia kiasi cha dola milioni 9 benki.

Hata hivyo VillafaƱe amepinga vikali madai hayo na kudai kuwa yeye si mwizi na hakuiba fedha hizo huku akitetewa pia na watoto wake Dalma na Giannina kwenye mtandao wa twitter.
wawil
Maradona akiwa na mke wake Claudia
Wapenzi hao ambao walikutana miaka ya zamani katika mji uliokithiri kwa umasikini huko Buenos Aires kabla ya Maradonna kuwa maarufu na kuwa miongoni mwa wachezaji mahiri duniani katika historia ya soka,waliachana baada ya kutofautiana.

Watoto wao wawili Dalma and Giannina,wamekaririwa kwenye mtandao wa twitter wakimtetea mama yao wazi wazi na kwamba hahusiki na upotevu huo wa fedha za baba yao
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top