Katika kampeni Leo nimezungukia matawi ya Msikini, Gezaulole, Mapambano, Mlima Shabaha, Elerai, Tindigani pamoja na Kingereka.
Maeneo yote haya yanapatikana ndani ya wilsya ya Hai mjini.
Katika ziara zangu zote kwa siku ya leo nimezungumzia maendeleo ya ukanda wa tambarare kama barabara, Maji, Umeme, zahanati pamoja na shule. Kwa pamoja tutashinda.
Hapa ni eneo la Tindigani kata ya Kia mhe.Gasper Ngido akihutubia wananchi wa maeneo hayo na kuwaomba ridhaa ya kugombea ubunge kupitia ccm ndani ya Hai.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Post a Comment