Ni waziri ambaye amekua akisifika na kusikika kwenye headlines
mbalimbali na rekodi zake za ufanyaji kazi kwa long time lakini kwa
kipindi chote hicho hajawahi kuwa na account yoyote kwenye mitandao ya
kijamii kama Facebook Twitter au Instagram ambayo ina nguvu kubwa sana kwenye ulimwenguni

Mpaka usiku wa July 29 2015 Account ya Dr. John Magufuli ilikua na followers 8333,tweets zikiwa tisa huku wakiwa ni watu 10 anaowafollow ambao ni UN, Mbunge wa Kigamboni Faustine Ndugulile, Mbunge wa Singida mjini Mohamed Dewji, CCM Youth league, Mawaziri Bernard Membe na Lazaro Nyalandu pamoja na Rais Jakaya Kikwete.Hizi hapa chini ni baadhi ya tweets zilizoandikwa kwenye page hii mpaka sasa ambapo mpaka July 29 2015, tweet yake ya mwisho iliandikwa July 26 2015.




Post a Comment