Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Miundombinu nado ni changamoto kubwa sana katika ukanda wa
chini wa Hai.
Ili kuleta maendeleo hiki ndio moja ya vipaumbele vyangu nikipata
ridhaa ya kuwatimikia wanahai alisema
mhe.Gasper Ngido
Hapa akiwa eneo la Isuki Masama kati, endapo akipewa nafasi ya kuwatumikia wana Hai basi kila kitu kitaenda sawa kabisa, ebu mpeni kura zenu jamani Gasper Ngido.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.
Share habari hii na wenzio wajue
Post a Comment