Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Taarifa kutoka mkoani Dodoma zinasema zaidi ya abiria 20 wamefariki
dunia usiku wa jana, huku zaidi ya abiria 40 wakijeruhiwa vibaya baada ya basi
la kampuni ya SIMIYU EXPRESS walilokua wakisafiria kutoka Mwanza kwenda Dar es
salaam kupasuka tairi na kuacha njia na kugonga mbuyu na kisha kupinduka.
Taarifa zinasema ajali hiyo ni mbaya sana kuwahi kutokea
mkoani Dodoma, hadi hivi sasa bado kuna miili haijatolewa kwenye mabaki ya basi
hilo kutokana na kuharibika vibaya na kubaki mithili ya nyama.
MWENYEZI MUNGU AZILAZE MAHALA PEMA PEPONI ROHO ZA MAREHEMU
NA KUWAPA NGUVU FAMILIA ZOTE ZA MAREHEMU
AMEEN.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.
Share habari hii na wenzio wajue
Filed Under:
MATUKIO
on Thursday, July 23, 2015
Post a Comment