Ukiwa ndani ya ndege unaweza usijue
kinachoendelea nje, unaweza kukuta japokuwa hii ndege imeyumba kiasi
hiki bado waliopo ndani hawakupata picha kabisa nje kuna hali gan.

Kutokana na upepo mkali uliokuwepo Schiphol Airport ndani ya Amsterdam Uholanzi July 25 2015, ikashuhudiwa ndege ya KLM 777-300ER
ikitua kwa shida na ukiangalia unaweza kusema wakati mwingine ndege
ikikutana na balaa la namna hii alafu mkatoka salama ni bahati tu.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Post a Comment