Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

JE POST ZA MSANII DIAMOND PLATNUMZ ZINAMLENGA MTU AU KUNDI???

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Inawezekana ukawa ni mmoja kati ya wale ambao wamekua wakijiuliza juu ya utata wa post za Diamond Platnumz ambazo amekua akipost kama zinamhusu mtu au kikundi Fulani ambacho anataka ujumbe huo uwafikie.
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz

Jibu la ‘Caption’ hizo ni hili ambalo Diamond Platnumz analijibu ‘Unajua mimi nimekulia Tandale ni Mswahili kabisa halisi,Uswahili wangu ndiyo naamini umenifikisha hapa,tangu naanza Kamwambie hata ukisikiliza nyimbo zangu zina maneno ya Kiswahili’

Sentensi nyingine ya Diamond amesema>>’hata post zangu ziko Kiswahili mimi nimejiwekea tu furaha kuwaburudisha watu,mtu asiichukulie tofauti labda kama mtu ana makusudio yake yeye mabaya,Najua mimi nikirusha jiwe kwenye giza mtu akilia inamaana limempata inamaana lilikua linamhusu yeye kama kuna mtu anajishuku basi litakua linamhusu yeye lakini mimi simlengi mtu yoyote’.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top