Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

JIPATIE KIWANJA LEO KWA BEI NAFUU KABISA HII SI YA KUKOSA MDAU

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Viwanja vyenye ukubwa tofauti vinauzwa kwa bei tofauti. Viwanja vyenyewe ni kama ifuatavyo hapo chini. 

 eneo lina anzia kwenye nguzo au pale mshale ulipoanzia kuendelea mbele.


1. Kiwanja chenye urefu wa Futi 50 na upana wa Futi 40 kinauzwa kwa Tsh. 1.5million.
picha ikionesha sehemu moja wapo ya maeneo haya.

2. Kiwanja chenye urefu wa Futi 80 na upana wa Futi 40 kinauzwa kwa Tsh. 3millions.
mshare ulipo ni moja ya eneo linalouzwa, na utaona barabara inayo tumika.

3. Kiwanja chenye urefu wa Futi 100 na upana wa Futi 40 kinauzwa kwa Tsh. 3.5millions.
 
Jinsi ya kufika viwanjani hapo: popote ulipo njoo mpaka stend ya Mbagala rangi tatu, kisha panda magari yaendayo Mwandege/Vikindu/Kisemvule nk.

fuata mshale unavyo onesha kwenye kibao hiki kwenye picha hapo juu ukiwa ndo unatokea stendi ya Mbagala rangi tatu sasa.
kisha shuka Vikindu Getini. Kutokea hapo vikindu getini unaweza kupanda gari au pikipiki ambapo utatumia dakika 10 tu kufika viwanjani hapo.

izi ni nyumba za majirani waliopakana na maeneo haya, na utaona barabara inayotumika kupitisha magari, pikipiki, baiskeli pamoja na binadamu.
KUMBUKA: Viwanja vyenye ukubwa na bei zilizotajwa hapo juu viko vingi sana, na pia ili ni eneo la mtu ambalo ameamua kulikata vipande na kuviuza kwa wananchi wenye nia.

Endapo ukikubali kununua moja ya maeneo hayo wewe mnunuzi na mashahidi wako pamoja na muuzaji na mashaidi wake mtaandikishana mbele ya serikali ya kijiji na utapata umiliki unaotambuka na serikali hiyo.
Tuwasiliane sasa 0659 91 9292 Mutalemwa
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

1 comments:

karibuni sana Watanzania mpate huduma za Ardhi

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top