Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MOJA KATI YA VICHWA VYA MAGAZETI VILIVYO BAMBA ZAIDI HIVI HHAPA

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Magazeti ya August 3 2015 yako mtaani tayari na vichwa vyake vikubwa vya habari, kazi yangu ni kukusogezea zile zote kubwa kubwa zinazoweka vichwa vya habari magazetin

CCM waanguka kura za maoni, Rostam Aziz ajisalimisha kwa Magufuli, Makada wa CCM ngumi nje nje na Makongoro Mahanga ajingo’a CCM na kujiunga na CHADEMA.

Mawaziri wa 5 CCM waanguka kwenye kura za maoni za kuwania Ubunge kupitia Chama hicho, wakiwemo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias Chikawe na Manaibu Waziri 4.

Kamati Kuu CHADEMA yakaa Kikao kwa siri nzito… Kuna stori pia kuhusu Yusuph Manji na Said Fella kuibuka kidedea katika kinyanganyiro cha Udiwani  katika jimbo jipya la Mbagala jijini Dar.

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top