Nusu fainali ya michuano ya kombe la Kagame
imechezwa July 31 kwa timu nne kushuka dimbani, huku timu mbili pekee
zitakazoshinda ndio zitakazocheza mchezo wa fainali jumapili ya August 2
Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.

Azam FC imekuwa timu ya pili kutinga fainali baada ya kuifunga klabu ya KCCA ya Uganda kwa goli 1-0 bao pekee lililofungwa na Farid Mussa dakika ya 76. Hivyo Azam FC itacheza mchezo wa fainali na klabu ya Gor Mahia ya Kenya ambayo imeifunga Al Khartoum ya Sudan kwa goli 3-0.

Post a Comment