Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
LIPUMBA:
Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Prof.Ibrahim Lipumba
ajiuzulu uenyekiti dar leo,adai Ukawa wameshindwa kusimamia
makubaliano,atabaki kuwa mwanachama.
Kumekuwa na stori nyingi ambazo
zimeandikwa sana Magazetini kuhusu Umoja wa Vyama vya UKAWA, baada ya
Mbunge wa Monduli kukaribishwa CHADEMA na UKAWA stori nyingine zikaanza
kuchukua headlines kuhusu baadhi ya Viongozi waliopo Vyama vya UKAWA.
August 06 2015 nimeipata taarifa rasmi kutoka kwenye Kikao ambacho Prof. Lipumba amekifanya Dar, ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya Uenyekiti wa Chama hicho.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.
Share habari hii na wenzio wajue
Post a Comment