Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

TAHADHARI KWA WAKAZI WOTE WA JIJI LA DAR ES SALAAM

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Mkuu wa mkoa wa Dar-es-Salaam mhe. Said Meck Sadik amewataka wakazi wa jiji la Dar-es-Salaam kuacha tabia ya kushikana mikono.

Ameyasema hayo baada ya mripuko wa ugonjwa wa Kipindu pindu ulijitokeza jijini hapa kwa mda wa wiki mbili sasa, huku akiwataka wakazi wote kuzingatia usafi saa na wakati wote pindi wanapotaka kula chakula wanawe mikono kwa maji moto pia watumie sabuni ili kujikinga dhidi ya ugonjwa huu ambao ni hatari

Visit Mutalemwa Blog from here

Mpaka sasa ugonjwa huu wa kipindu pindu umeisha wapata watu 56 na watu 3 kati yao wamefariki dunia. Sambaza uwaokoe wenzio.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top