Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MVUA YA MAWE YA SABABISHA KAYA 312 WILAYANI NGARA KUADHILIKA VIBAYA

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali yasababisha maafa makubwa katika wilaya ya Ngara mkoani Kagera.

Tukio hilo limetokea ikiwa ni siku moja baada ya mamlaka ya hali ya hewa nchini tanzania kutoa tahadhali ya kuwepo kwa mvua kubwa nchini pamoja na baadhi ya nchi za Africa.

Kaya 312 zimeadhilika vibaya kwa kukosa chakula baada ya mashamba yao kusombwa na maji huku familia sita 6 zikikosa makazi pamoja na shule za msingi na jengo moja la halmashauri kuezuriwa na upepo ulio ambatana na mvua hiyo wilayani humo.

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top