Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

IZI NI SALAMU TU KUELEKEA 25 OCTOBER 2015, BOFYA HAPA

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Mgombea urais wa Chadema kupitia UKAWA alisimamisha jiji la Arusha kwa muda.

Jiji la kitalii la Arusha limesimama kwa muda kupisha mkutano mkubwa wa hadhara uliokuwa ukiongozwa na mgombea wa nafasi ya urais anayeungwa mkono na vyama vinne vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Edward Lowassa.

Kwa wakazi wa jiji hili la kitalii na viunga vyake vyote la Arusha wanasema hizi ni salamu tu kuelekea Oct 25 mwaka huu,

Mkutano huu unaotajwa kuvunja rekodi ya mikutano ya hadhara jijini Arusha ulichagizwa na uwepo aliyekuwa kada namba 8 wa CCM, comledy Kingunge Ngombale Mwiru ambaye kwa sasa yuko na timu ya mabadiliko baada ya kukikacha chama chake cha zamani cha CCM.

Kwa upande wake waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye kwa maneno machache kabisa amesema kwa hali ilivyo nchini kazi imebaki moja ya kuhakikisha viongozi wa UKAWA wakiongozwa na Edward Lowasaa wanaongoza serikali ya wamu ya tano.

Akihutubia maelfu ya wakazi hao ambao licha ya mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha walikuwa wakiendelea kumsikiliza mgombea wa urais Edward Lowassa, amesisitiza kutumia speed 120 katika kuhakikisha mtanzania ananufaika na rasilimali za nchi.

Edwin Mtei masisi wa Chadema anasema ni wakati muafaka wa kukiongoa chama cha CCM kwani ndani ya miaka 54 ya uwepo wake kimedhihidilisha kushindwa kuwaongoza watanzania.

Mgombea huyo wa urais Edwrad Lowasa anayetajwa kuwa na mvuto zaidi katika kipindi hiki amefanya mikutano kadhaa kabla ya kuhitimisha kwa kishindo katika uwanja wa sinoni mjini arusha.

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top