Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Je unatumia gas kwa kupikia au kwa matumizi mengine mbalimbali??
Tafdhali soma ujumbe huu kwa umakini sana kisha uchukue tahadhari ili isitokee kwako. Hili linaweza kuwa ni kosa la kawaida katika kila nyumba.
Ni vyema tukafahamu kuwa dawa zote za kuulia wadudu zina mchanganyiko mkubwa wa madawa mengi yanayoweza kusababisha mlipuko mkubwa endapo dawa iyo itapurizwa karibu na moto.
Mchanganyiko huu wa madawa ni rahisi sana kusababisha mlipuko haraka sana.
Tafadhali elimisha wanafamilia yako na rafiki zako kuhusu jambo hili na sambaza ujumbe huu shirikisha wengine, huwezi jua utaokoa maisha ya watu wangapi.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.
Share habari hii na wenzio wajue
Post a Comment