Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Ndugu yangu, kuna taarifa zinasambaa mitandaoni tangu jana usiku tarehe 23/10/2015 zikidai kuwa huko mkoani Kilimanjaro, Mhe.Merry Nagu amekamatwa na mabox 10 yakiwa yanakura ambazo tayari zimekwisha pigwa.
Vyombo vinavyodaiwa kukamatwa
Pia kuna habari nyingine ambayo inamlenga mhe.John Joseph Pombe Magufuli kuwa ametoa hongo ya vyombo kwa wana nchi wa Mbarali jijini Mbeya ili apigiwe kura za ndio na vyombo hivyo vimekamatwa. Je taarifa izo ni za kweli??
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.
Share habari hii na wenzio wajue
Filed Under:
MATUKIO
on Friday, October 23, 2015
Post a Comment