Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

LOWASSA: TUTAPUNGUZA MISAMAHA YAKODI NK

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Tutapunguza misamaha ya kodi kufikia asilimia moja (1%) tu ya pato la taifa (au chini ya hapo) kama inavyoshauriwa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF).

Wenzetu Kenya na Uganda wameweza. Tanzania inapoteza zaidi ya Shilingi trilioni moja nukta nne kila Mwaka kutokana na misamaha holela ya kodi.

Tukilitekeleza hili pekee, tutaweza kulipa Deni la Walimu la Shillingi Bilioni Thelathini na Tatu na bado chenji kubwa ikabaki kuboresha maslahi ya Polisi, Madaktari, n.k.

Kwa mujibu wa Wizara ya Fedha, kiasi cha misamaha ya kodi katika mwaka wa fedha 2014/15 kilikuwa Shilingi Trilioni 1.419.

Katika kipindi hicho, serikali ilitegemea kukusanya takriban Shilingi Trilioni 10 kama kodi. Hii inaonyesha kwamba kiasi cha misamaha kilikuwa asilimia 14 ya mapato ya kodi. 

Kuhakikisha kwamba misamaha yote ya kodi inawekwa wazi na inakaguliwa na mamlaka ya kodi (TRA), Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Fedha Za Serikali (CAG), pamoja na Kamati husika za Bunge".
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top