Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Tangu siku ya jana jioni kumezuka vurugu kati ya wafanyakazi pamoja na viongozi wa Uchumi supermaket ndani ya je la Quality Centre Karibu na Tazara, nakupelekea viongozi na wafanyakazi hao wote kulala ndani ya jengo hilo.
mpaka sasa bado hatuna habari kamili juu ya vurugu izo, ila taarifa zilizotolewa na baadhi ya wafanyakazi zinasema kwamba kumekuwa na kupishana kwa kauli kati ya wafanyakazi na viongozi wao, huku wengine wakidai kuwa wanataka kufunga supermaket hiyo wakati wafanayakazi hawajaripwa haki zao, izo ni taarifa za baadhi ya wafanyakazi, ila bado hatujapata taarifa kutoka kwa vionozi wao kutokana na kufungwa kwa milango yote ya uchumi supemarket.
Endelea kuwanasi mda sii mrefu tutakuletea mahojiano jinsi ilivyokuwa kwa mujibu wa wafanyakazi.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.
Share habari hii na wenzio wajue
Filed Under:
MATUKIO
on Tuesday, October 13, 2015
Post a Comment