Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MAFUTA YASHUKA BEI NCHINI KENYA

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Nchini kenya wameamua kushusha bei za mafuta kutokana na kushuka kwa bei za mafuta kwenye soko la dunia.

Katika kushushwa kwa mafuta hayo wametangaza na bei kuwa zitakuwa kama ifuatavyo hapo chini.

NAIROBI:
• Petroli lita itauzwa kwa Ksh 93.29
• Diseli lita itauzwa kwa Ksh 82.43
• Mafuta ya taa lita itauzwa Ksh 56.04

MOMBASA:
• Petroli lita itauzwa kwa Ksh 89.98
• Diseli lita itauzwa kwa Ksh 79.15
• Mafuta ya taa lita itauzwa Ksh 53.32

NAKURU:
• Petroli lita itauzwa kwa Ksh 94.02
• Diseli lita itauzwa kwa Ksh 83.35
• Mafuta ya taa lita itauzwa Ksh 56.88


KISUMU:
• Petroli lita itauzwa kwa Ksh 95.23
• Diseli lita itauzwa kwa Ksh 84.56
• Mafuta ya taa lita itauzwa Ksh 57.91

WAJIR:
• Petroli lita itauzwa kwa Ksh 101.55
• Diseli lita itauzwa kwa Ksh 90.69
• Mafuta ya taa lita itauzwa Ksh 64.29

MARARAL:
• Petroli lita itauzwa kwa Ksh 98.8
• Diseli lita itauzwa kwa Ksh 87.50
• Mafuta ya taa lita itauzwa Ksh 61.04
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top