Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MAMILIONI YA WA TANZANIA WAMKUMBUKA JK NYERERE

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Sikukuu ya Nyerere Dei huadhimishwa kila Oktoba 14 kukumbuka siku aliyofariki kiongozi huyo.

Watanzania wamekuwa wakitumia vitambulisha mada kadha kueleza hisia zao kuhusu maono aliyokuwa nayo Baba wa taifa mwalimu Jk. Nyerere wakati wa uhuru 1961 na hali ilivyo sasa.

Mwandishi wetu pia amezungumza na baadhi ya wakazi ambao wanasema mengi ya maono ya Mwalimu Nyerere hayajatimia.

Vitambulisha mada vingine vinavyotumiwa ni #NyerereDay #NyerereDaySpecial na #NyerereQuotes ambapo Watanzania wanakumbuka nukuu muhimu za kiongozi huyo.

Mwalimu Nyerere Kwa sasa taifa hili linajiandaa kwa uchaguzi mkuu Oktoba 25, kukiwa na ushindani mkali kati ya chama tawala CCM na muungano wa vyama vya upinzani yaani Ukawa.

Itakumbukwa kuwa Mwalimu Nyerere alizaliwa Aprili 13, 1922 na akafariki dunia Oktoba 14, 1999.

Aliongoza Tanzania hadi alipostaafu mwaka 1985. Mwalimu Nyerere Aliendelea kuwa mwenyekiti wa CCM hadi 1990. Alifariki kutokana na saratani aina ya leukemia akitibiwa nchini London.

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top