Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MAGUFULI ASHINDA URAIS KWA ASILIMIA 58.46%

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Kwa mujibu wa matokeo yaliyokusanywa nchi nzima na kutangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi nchini Tanzania kwa nafasi ya urais kwa mwaka huu wa 2015.

Idadi ya watanzania walioandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapigakura ni millions 23,161,440 na waliopiga kura ni 15,589,639 sawa na asilimia 67.31%

Kura halali ni 15,193,862 sawa na 97.46% kura zilizo kataliwa ni 402,248  sawa na 2.58%.

Matokeo ni kama yafuatavyo hapo chini
1. ACT- kura 98,763  sawa na 0.65%
2. ADC- kura 66,049 sawa na 0.43%
3. CCM- kura 8,882,935 sawa na 58.46
4. CHADEMA- kura 6,072,848 sawa na 39.97%

5. CHAUMA- kura 49,256 sawa na 0.32%
6. NRA- kura 8,028 sawa na 0.05%
7. TLP- kura 8,198 sawa na 0.05%
8. UPDP-kura 7,785 sawa na 0.05%

Mshindi wa nafasi ya urais kwa mwaka huu ni mhe.John Joseph Pombe Magufuli. I love my country. 
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top