Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MENGINE YAJITOKEZA KITUO CHA STATION

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Tabia ya abilia kudandia magari kabla hayajasimama kwenye vituo husika yameendelea kuwasababishia matatizo makubwa mno.

Moja kati ya matatizo hayo nipamoja na ulemavu wa kudumu, arama za kutisha kwenye miili yao pamoja na mambo mengineyo.


Leo mida ya saa moja kasoro muda huu kijana mmoja amebanwa na taili la daladala na kuchunika vibaya mno akiwa kwenye kituo cha daladala pale Steisheni .

Ndugu zangu, ebu tuwe wavumilivu na wastarabu maana ajali ikishatokea ujue wa kuumia siku zote ni wewe. Niayo tu.

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top