Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Ukiachana na tembo na twiga pamoja na viumbe wengine waliopo kwenye harakati ya kutoweka duniani.
Sasa sekeseke lingine limeamia kwa wanawake weusi, wanawake weusi nao wako mbioni kutoweka kwenye uso wa dunia kutokana na idadi kubwa ya wanawake hao kuukana weusi wao na kutumia madawa ya kuwabadirisha rangi ya ngozi kutoka kwenye weusi na kuamia kwenye weupe (rangi kama ya mzungu)
Je unafikili ni kwanini wanawake wameamua kufanya hivi?? Tuachie comment yako hapo chini tafadhali.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.
Share habari hii na wenzio wajue
Filed Under:
MATUKIO
on Thursday, November 19, 2015
Post a Comment