Kamanda wa kanda maalum ya Dar es Salaam kamanda Saimon Sirro amewaonya bodaboda wanaojihusisha na vitndo vya uhalifu kwa kutumia pikipiki zao kuacha mara moja kwa kuwa jeshi la Polisi hivi sasa limeanza operesheni maalum ya kuwasaka na kuwafikisha mahakamani hivyo kuwataka bodaboda wafuate sheria na kuachana na uhalifu.
Kamanda Sirro ametoa kauli hiyo Temeke jijini Dar es Salaam baada ya kuongea na bodaboda wote wa Temeke na kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili na jeshi la polisi kuzitatua kwa kushirikiana na bodaboda.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Post a Comment