Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

POLICE WAZIMA GHASIA MPAKANI MWA SIMANJIRO NA KONDOA, BOFYA HAPA

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Jeshi la polisi lazima ghasia kati ya Wamasai na Watatoga mpakani mwa Simanjiro na Kondoa.

Hali ya hatari imeibuka katika kijiji cha Kutishi mpakani mwa wilaya za Kondoa na Simanjiro baada ya watu wa jamii ya kifugaji kutoka makabila ya Maasai na Watatoga wakiwa na silaa za jadi mikuki mishale na silaa za moto zikiwemo bunduki kutaka kupambana kwa madai ya kuibiana Ng’ombe hali iliyo lilazimu jeshi la polisi kuingika kati kutuliza ghasia hizo huku ikidaiwa watu watatu Maasai wawili na Mtatoga wamefarikiduni katika ugomvi huo.

Mutalemwa Blog ilifika katika eneo ilo na kushuhudia watu hao wa jamii ya kifugaji kutoka kabila la masai na watatoga wakiwa na silaa mbalimbali za jadi na bunduki wakiwa wamesimama tofati ya mita miambili na jeshi la polisi likiwa katikati kuzuia wasikaribiane huku kila Maasai wakidai hawataondoka bila kupatiwa Ng’ombe wao na Watatoga wakidai ndugu yao anayedaiwa kuuawa ambapo viongozi wa mila wametumia nguvu kubwa kutuliza ghasia hizo.

Katika tukio ilo viongozi wa mila kutoka jamii hizo walitumia nguvu kubwa kuwatuliza vijana walikuwa na jazba ambao walitaka kuvamiana wakiwa katika eneo la Mbuga Tambalale katika pori la akiba la Mkungunero.

Mbunge wa Simanjiiro James Ole Milya ameitaka serikali kutopuuuzia hali hiyo kwakuwa imeonesha kila dalili za uvuchifu wa amani na hali inaweza kuwa mbaya zaidi kwani kila dakika zinavyo kwenda ndiyo watu wanavyo badilika.

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top