Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

HUDUMA YAKWANZA KWA MTU YEYOTE YULE ALIYEUNGUA KWA MOTO

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
katika kutoa huduma ya kwanza kwa mtu aliyeungua kwa moto tafadhali fuata hatua zifuatazo hapo chini.

1. Chukua tahadhari. Hakikisha usije ukaungua wakati unapojaribu kumwokoa mhanga
2.Zima moto lakini tumia busara katika uzimaji wa moto huo uliosababisha ajali
3. Poza eneo lililoungua kwa kumwagia maji yaliyopoa. Unaweza kutumia maji ya bomba kwa majeraha madogo.
4.Iwapo kuna majeraha sehemu za mikono,miguu, au sehemu ya tumbo omba msaada haraka.

Mhanga anahitaji huduma ya hospitali iwapo ameungua sehemu za siri au usoni.
5.Kwa majeraha madogo unaweza kutumia maji ya baridi(sio barafu au vuguvugu) au dawa kutuliza maumivu. Iwapo maumivu ni makali muone daktari. Endelea kuwanasi ili tukujuze zaidi mambo yanayotokea duniani kote.

Bofya mbele kupata habari zote za afya kutoka Mutalemwa Blog <bofya hapa>

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top