Mr Joel alikuwa anasafiri, mkewe akamuandalia nguo na vitu vyake vyote tayari kwa safari, wakati mkewe anamuaga akampa box la kondom Mr Joe akauliza "za nini hizi wangu?", mkewe akamwambia "wewe ni binadamu mume wangu ikitokea umeingia majaribuni tumia hizo kwa usalama wetu".
Mume akatabasamu akazipokea akasema asante mke wangu, wakati anawasha gari ili aondoke mkewe akamkimbilia akamwambia nimesahau nimekupa zote hebu niachie japo kumi za emergency.
Sasa ishu inakuja hivi, kama wewe ndie ungekuwa mr.joel ungempatia hizo condomu kumi za emergency alizokuomba!?? au ungempatia box lake lote!? au ungemnyima kumpa zote!??
tazama video yao hii hapo juu
Ila kumbuka kwamba Mwenzio Ameonesha kukujali, Kukuthamini na Kukulinda pia, je na wewe unampenda, unamthamini, unamjali na UTAMLINDA??? Nini maoni yako ndugu yangu.
Post a Comment