Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

KAMA UNA TATIZO LA KUUMWA MIGUU/KIUNO/MIKONO BASI CHUA DAWA HII

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Ndugu zangu, leo katika kipindi cha afya yangu leo nataka tuangalie watu wenye matatizo ya kuumwa miguu au sehemu zingine kwenye joint, katika kipindi cha leo nitajaribu kutoa baadhi ya dawa ambazo ni dawa za asili kabisa na ukiweza kuzifuatisha kama nitakavyokuwa nimekuelekeza basi utafanikiwa kwenye zoezi lako.

Chukua kitunguu swaumu kitwange mpaka kilainike vyakutosha kisha chukua mafuta ya nazi changanya na kitunguu swaumu ulicho twanga kisha tumia kujichua sehemu inayouma kila siku mara mbili yaani asubuhi na usiku wakati wa kulala, fanya hivo kwa mda wa mwezi mmoja kisha utaona maajabu yake.
Au kuna baadhi ya mikoa ambayo kupata nazi kidogo inakuwa mtihani sana, basi kama ukikosa nazi tunia njia ifuatayo hapo chini.


Chukua kitunguu swaumu kitwange mpaka kilainike vizuri kisha baada ya kumaliza zoezi hilo la kutwanga kitunguu swaumu, chukua ndimu au rimao ikate vipande viwili na kisha kamulia maji ya ndimu/rimao kwenye chombo ambacho umeweka kitunguu swaumu kile ulicho twanga kisha changanya kwa pamoja kisha anza kuchua eneo husika kwa mda wa siku 30, kwa nguvu ya Mungu utapona kabisa.

Baada ya kumaliza zoezi hilo la kuchanganya kitunguu swaumu na juice ya rimao au ndimu weka sehemu ambayo ni salama kisha anza kupaka mchanganyiko huo kwa kuchua sehemu inayouma, fanya hivo kila siku kwa mda wa mwezi mmoja utaona maajabu yake.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top