Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MAINA A.K.A SURE LADY AFUNGA NDOA NA MWINYI

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Wasanii hawa kwa sasa wamekuwa ni tishio la jiji kutokana na uwezo walioweza kujipatia kupitia njia mbalimbali ikiwemo shindano la kusaka vipaji bora Tanzania (BSS) mwaka2014


Maina a.k.a sure lady mpaka sasa anatamba na wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la Mumewangu, ambapo ndani ya wimbo huu amemshirikisha msanii Mwinyi ambaye ndie mme wake kabisa.

Mungu azidi kuwalinda wao pamoja na wewe mdau wa Tazama Line, Asante na endelea kutembelea Tazama Line kwa habari zaidi. 
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top