Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.
Taasisi ya Magonjwa ya Moyo ya JAKAYA KIKWETE ya Muhimbili imeelezea
ongezeko kubwa la wagonjwa kutoka ndani ya nchi na nchi jirani
wanaohudumiwa na taasisi hiyo.
Kaimu Mkuu wa Taasisi hiyo Profesa
MOHAMED JANABI amesema tangu mapema mwaka huu wagonjwa 800 wamehudumiwa
37 kati yao wakifanyiwa upasuaji na wote kuwa salama isipokuwa mmoja tu
ambaye alipoteza maisha.
Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.
Share habari hii na wenzio wajue
Filed Under:
AFYA
on Thursday, October 22, 2015
Post a Comment