Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

VURUGU KUBWA IMEIBUKA KATI YA WANANZENGO NA FAMILIA KUGOMBEA MAITI SHINYANGA, ZAIDI BOFYA HAPA

Maendeleo ya kweli na yenye tija kwa wengi yanaanzia kwako wewe binafsi, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya picha hii.

Vurugu kubwa imezuka kati ya wananzengo na familia kugombea maiti Shinyanga.

Diwani wa kata ya Kambarage iliyoko mjini Shinyanga Mh.Ramadhani Mwendapole amelazimika kuingilia kati na kuzuia vurugu kati ya wananzengo na familia ya Bw.Kalistus Shirima kugombea mwili wa marehemu Emiliani Peter Kulwa miaka 26 aliyefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha ambapo familia hiyo ilizuia mwili wa marehemu usiagwe kwa heshima za mwisho kabla ya kusafirishwa kwenda kuzikwa nyumbani kwao moshi Kilimanjaro.

Wakizungumza kwa masikitiko wanaumoja wa kusaidiana katika shida na raha maarufu kama wananzengo wamedai kuwa wakati marehemu akiwa mgonjwa ndugu zake walikuwa wakiwazuia watu wasimujulie hali mgonjwa huku wakidai kuwa kifo cha Emiliani Kulwa kimesababishwa na uzembe wa ndugu zake kwakuwa hata alipofariki hakuna mtu yeyote aliyekuwa karibu naye na ndugu hao walikuwa katika biashara zao hadi alipotokea msamaria mwema ndipo akagundua kuwa mgonjwa ameshapoteza maisha.

Aidha wakati diwani wa kata ya kambarage Mh.Ramadhani Mwendapole alipoingilia kati na kutuliza ghasia hizo ndipo wanafamilia wakaamua mwili wa marehemu Emiliani Peter Kulwa uletwe mahali hapo ili uagwe kwa heshima za mwisho tayari kwa kusafirishwa kuelekea moshi kwa mazishi huku mwenyekiti wa mtaa wa Kambarage Bi.Fatuma Juma akitangaza faini ya shilingi laki tano kwa familia ya marehemu kwa kosa la kuzuia marafiki na wanazengo kumhudumia mgonjwa na kufanya uzembe unaodhaniwa kusababisha kifo cha marehemu emiliani kulwa.

Siku zote bahati yako iko mikononi mwako tu, ili kudhibitisha kuwa ni kweli bofya kwenye picha iliyopo hapa chini.
Never let a problem become an excuse. Put your Problem in Proper Perspective. What is the secret ingredient of tough people that enables them to succeed? Why do they survive the tough times when others are overcome by them? Why do they win when others lose? Why do they soar when others sink? The answer is very simple. It's all in how they perceive their problems.

Share habari hii na wenzio wajue

Post a Comment

CodeNirvana
Powered by Blogger.
© Copyright Tazama Line
Back To Top